Wednesday, January 19, 2005

JAMANI MNAOVAA TAI NA SUTI MNAZIJUA SHERIA HIZI.

Vazi la suti mara nyingi humfanya mvaajia aonekane nadhifu na mwenye heshima ndani ya jamii anayoishi hususani kwa akina baba kabwela. Pia kuna uvaaji wa suruali nyepesi, shati jepesi, kiatu cha mchongoko na tai inatangulia mbele watoto wa Dar wanasema vazi la "kipapaa". Vazi hili kutokana na heshima lukuki linazopata kutoka kwa jamii hasa ya makabwela kama nilivyokwisha kusema awali limekuwa likitumika hata na wahalifu kama majambazi na matapeli katika kuwalaghai watu mbalimbali ambao ndio huwa walengwa wa uhalifu wao. Pia vazi hili hupendelewa kutumiwa na viongozi, na mabwana harusi au hata wakurugenzi na mabosi wa mashirika, taasisi, na makampuni mbalimbali.
Lengo langu siku ya leo ni kuwaleteeni sheria zinazotakiwa kuzifuata mtu anapovaa suti la sivyo unaweza kujikuta upo matatani kwa kuvunja moja ya sheria hizo. Sheria zenyewe ni kama ifuatavyo. Unapovaa suti au tai hakikisha huvunji sheria hizi hapa chini:-
1. Ni marufuku kuvaa kandambili au malapa
2. Ni marufuku kuvaa soksi mbovu.
3. Ni marufuku kujisaidia uchochoroni.
4. Ni marufuku kupenga kamasi barabarani.
5. Ni marufuku kupanda daladala.
6. Ni marufuku kuendesha baiskeli au pikipiki.
7. Ni marufuku kucheka cheka hovyo.
8. Ni marufuku kuomba change dukani.
9. Ni marufuku kubeba mfuko wa plastiki maarufu kama rambo
10. Ni marufuku kuingia kwenye kibanda cha simu.
11. Ni marufuku kula magengeni.
12. Ni marufuku kuonekana unatafuna barabarani.
13. Ni marufuku kutembea na pesa za sarafu mifukoni mwako.
12. Ni marufuku kulia hata kama umeletewa taarifa ya msiba.
14. Ni marufuku kupiga miruzi.
15. Ni marufuku kuonekana unatoka mijasho kama unasukuma mkokoteni.
16. Ni marufuku kuongea kwa kelele.
17. Ni marufuku kunywa chai au kahawa kwa kutumia kikombe cha plastiki.
18. Ni marufuku kutembea kwa miguu.
19. Ni marufuku kukimbia.
20. Ni marufuku kunuka mdomo wala kikwapa hili kosa kubwa sana na hukumu yake mpaka mbinguni ipo.
21. Ni marufuku kusema uongo.
22. Ni marufuku kuonekana umekasirika unatakiwa uwe na uso uliokunjuka.
23. Ni marufuku kumchapa mtoto.
24. Ni marufuku kusababisha ubishi au mjadala uso na maana.

Kwa leo tuanamaliza na sheria za suti na tai siku nyingine tutawaletea masharti ya kujiunga na chuo na vibaka huko maeneo ya uwanja wa fisi jijini Dsm.

20 Comments:

At 6:52 AM, Anonymous Anonymous said...

Mzee kweli unajua watu wengi wanavaa tu lakini hawazijui hizi sheria bora uwajulishe kila la heri katika kutupa furaha.

 
At 4:39 PM, Anonymous Anonymous said...

Hapa umeniacha hoi kabisa. Sijiwezi!!!!

 
At 9:22 AM, Anonymous Anonymous said...

ooh! this is good...I like

 
At 3:13 PM, Anonymous Anonymous said...

Suti ni vazi tuu kama mavazi mengine, hayo mawazo na sheria zako zimetawaliwa na utumwa wa kiakili na kujaribu kukufahamisha kiwango cha upumbavu wako ni sawa na kupaka rangi pepo za kusi ndani ya bahari ya hindi. Mimi nilikuwa nakunywa bia wakati nimevaa kanzu ya kiarabu waislamu wakawa wananishutumu, lakini Iraq waarabu wenyewe wanakunywa bia huku wamevaa kanzu. Emancipate yourself from mental slavery, non but yourself can free your mind...

 
At 8:32 AM, Anonymous Anonymous said...

That is a sole crap! Embu angalia ugaibuni watu wanavaa tai na kupanda ma-public transportation, wanalia, wanatumia call boxes! Na mawakili je wanaozua mijadala mikali kortini? Na wanasiHasa wanaosema uwongo wakiwa wamevaa tai na suit???? Kwa kweli umeonesha kiwango chako cha kipekee cha upumbafu!!!!

 
At 11:56 PM, Anonymous Anonymous said...

Sheria hizi si mbaya. Lakini tukiziendekeza ndo yale yale ya watanzania kujiweka juu wakati hatuna lolote! Hebu tusiwakatishe tamaa wale tusiokuwa nacho!

Yale yanayowezekana tuyatimize na si ujaribu kutimiza masharti hayo kumbe hata hujiwezi kupiga hatua nyngine ya kimaendeleo, maisha hoi, ila tu we kava suti na tai!? Acheni ulimbukeni!! Noma~

 
At 8:13 AM, Anonymous Anonymous said...

blood hell! didnt know all that,it make sense though! hihihihihi!!

 
At 3:34 AM, Anonymous Anonymous said...

wengi wa watu wanaovaa vazi hilo huwa wanapretend kama jamaa lakinini haina mantiki angalia wenzetu wazungu they don care about the rules mentioned!

 
At 6:33 AM, Anonymous Anonymous said...

some of the rule are totally crap hence there not applicable at all be careful when your writing something like that again

 
At 7:35 AM, Anonymous Anonymous said...

mimi nimependa hizi:

1. Ni marufuku kuvaa kandambili au malapa
2. Ni marufuku kuvaa soksi mbovu.
3. Ni marufuku kujisaidia uchochoroni.
4. Ni marufuku kupenga kamasi barabarani.
5. Ni marufuku kupanda daladala.
6. Ni marufuku kuendesha baiskeli au pikipiki.
7. Ni marufuku kuomba change dukani.
9. Ni marufuku kubeba mfuko wa plastiki maarufu kama rambo
10. Ni marufuku kuingia kwenye kibanda cha simu.
11. Ni marufuku kula magengeni.
12. Ni marufuku kuonekana unatafuna barabarani.
13. Ni marufuku kutembea na pesa za sarafu mifukoni mwako.
12. Ni marufuku kulia hata kama umeletewa taarifa ya msiba.



14. Ni marufuku kunywa chai au kahawa kwa kutumia kikombe cha plastiki.

15. Ni marufuku kukimbia.

 
At 7:35 AM, Anonymous Anonymous said...

hakika kwa wale wanaovaa suti kwa kuto fuata taratibu za suti wanaharibu mila na desturi za mwingereza kwani wao ndio walioanzisha uvaaji wa suti nawashauli vijana na wazee kwamba sheria zifuatwe la sivyo tutawaweka lumande wakanyee debe keko pale alaaaaa.

 
At 7:38 AM, Anonymous MOSES MHEMA said...

KILA LA KHERI WATANZANIA SIYO MTU MWENYE PESA NDIYO AVAE

 
At 1:36 PM, Anonymous Anonymous said...

Just as the gods used WWII to justify an influx of new technologies, including the voice in your head, so will they use the impending pestilence which kills over half the world's population to justify historical medical advances, including the "cure of aging", initiating the "1000 years with Jesus on Earth", despite biotechnology already accomplishing these goals.
We've seen this tactic used recently with AIDS, targetted at homosexuals and blacks in Africa with the biotechnology product. The gods control everything on Earth, and althugh sold AIDS to your enemies as revenge, their real purpose was to enlighten you regarding sex:::Back-handed help. It was very effective with homosexuals in the USA, but sex is among the most powerful temptations with Africans. Remeber it is always the gods:::Slavery, AIDS, drive-bys, crack babies, pimps prostituting 10 year-old girls. And, contrary to your belief the victim doesn't go anywhere, they are reincarnated back to Earth like everyone else when we die.
Then, as promised, The End will come with fire::::Global tectonic subduction.

There was a very real perception that bi-racial was much worse for the white than it was for the person of color. The liberal culture, which was designed and promoted with the god's tools to achieve their Apocalyptic goals, screamed racism when there was a very reasonable explanation for this reality::::
In this white punishment known as the United States the person of color has already adopted the disfavors/temptations intended for another race. But by associating/mating with a person of color the white is newly adopting the disfavors of another culture.
And this is the reason why people of color are not welcome in the United States. The gods control everything:::The perception they want to create, the thoughts they want you to have.
People of color can't recover from absorbing the temptations from two cultures. And why they become more and more like so many blacks in America:::Veterans at absorbing the temptations of two cultures.
To further illustrate this is why California's educational system/funding was ranked #1 when California was white:::Education being the basis of the affluent economic system. Now even public higher education has become unaffordable.

Don't forget the lessons the 'ole white preacher taught:::Dancing is a sin, spare the rod spoil the child.
The gods used the liberal tool to ridicule away so many taboos, paving the way for the decay of society and ultimately the End Times::::::
Black behavior was controlled by the KKK. Men's behavior was controlled by marriage for thousands of years.
When married by 15 men never gained the taste of promiscuity. Once the gods used the budding liberalism tool the men set the tone for the deteriorating enviornment centered around their gross disfavor.
Women's relinquishing control of pre-arranged marriage will be what costs mankind everything in The End. It's all their fault. Men are pigs, essentially just primally responsive disfavored beings who if given the freedom will abuse based on the impulses the god's push them into. Whereas under pre-arranged marriage this behavior was contained now the promiscuous fraternity house epitomizes the pinnicle of what a "real man" should be like. And sadly the women fall into line.

The gods behave monsterously in the course of managing Planet Earth but they demand people be good if you are to have a chance to ascend in a future life.
Not only is doing the right things important (praying, attoning for your sins, thinking the right way:::accepting humility, modesty, vulnerability), so is avoiding the wrong things important as well:::"Go and sin no more".
You NEED active parents who share wisdom to have a real chance to ascend into heaven in a future life, and you MUST be a good parent as well to have that opportunity. Once your children have been raised something changes, something has been decided about you. This is exactly that.

 
At 8:05 AM, Anonymous http://centralvimaxcanada.com/ said...

That's what everyone likes. You have a good imagination. Great post thanks you

 
At 6:50 AM, Anonymous VIMAX CANADA IMPORT said...

VIMAX ASLI IMPORT

MANFAAT VIMAX ASLI

CIRI CIRI VIMAX ASLI

 
At 6:58 AM, Anonymous OBAT PENGHILANG KANTUNG MATA said...

VIMAX ASLI
ALAT SEX UNTUK PRIA
VAGINA PANTAT NUNGGING
VAGINA TABUNG
VAGINA SENTER
BONEKA FULL BODY
ALAT SEX UNTUK WANITA
VIBRATOR LIDAH
PENIS TEMPEL GETAR ELEKTRIK
PENIS SILIKON GETAR
PENIS IKAT PINGGANG
BONEKA FULL BODY PRIA
PENIS MUTIARA
VIBRATOR PENGGELI
ALAT PEMBESAR PENIS
VAKUM PEMBESAR PENIS
PRO EXTENDER
ALAT PEMBESAR PAYUDARA
VAKUM PAYUDARA
KRIM PAYUDARA
dr SUSAN CREAM
KONDOM
KONDOM KRISTAL
KONDOM NAGA
KONDOM KAKTUS
MINYAK PEMBESAR PENIS
COBRA OIL
BLACK MAMBA OIL
LINTAH PAPUA
OBAT KANTUNG MATA
OBAT PENGHILANG KANTUNG MATA

 
At 7:00 AM, Anonymous vimax asli said...

OBAT KUAT SEX
KAMAGRA OBAT KUAT CAIR
OBAT KUAT SEMPROT PROCOMIL SPRAY
TISSU MAGIC
AFRICA BLACK ANT
CIALIS 20mg

 
At 10:00 AM, Anonymous vimax asli said...

CHEWING GUM
POTENZOL CAIR
OBAT TIDUR WANITA
LIQUID SEX
PEMUTIH WAJAH ALAMI
TENSUNG CREAM
PENGGEMUK BADAN ALAMI
KIANPI PILL GINSHENG
RING PENGGELI
RING PENGGELI VAGINA
SELAPUT DARA PALSU
SELAPUT DARA BUATAN
CELANA HERNIA
OBAT PENINGGI BADAN
OBAT PENYUBUR SPERMA
OBAT PEMUITH GIGI ALAMI
VIMAX CANADA
OBAT PEMBESAR PENIS
VIMAX ASLI CANADA
MANFAAT VIMAX
CIRI CIRI VIMAX ASLI
_________________________________________________________________________________________________________

 
At 12:20 AM, Anonymous PARJO JURAGAN VIMAX ASLI MENCO said...

VIMAX ASLI CANADA
MANFAAT VIMAX
CIRI CIRI VIMAX ASLI

AGEN VIMAX ASLI MAKASSAR

 
At 2:52 AM, Blogger myslot said...

ดูหนังใหม่ไม่อั้น ดูหนังออนไลน์ฟรีทุกเรื่องที่นี่ ดู Captain Marvel กัปตัน มาร์เวล (2019) สนุกกว่าใคร ดูเลย

https://www.doonung1234.com/

 

Post a Comment

<< Home